MTEPA

MTEPA

Reggae
Spotify Deezer Amazon Tidal Soundcloud Apple Music Shazam Anghami QQ Music Yandex Gaana Qobuz

Estadísticas de MTEPA

Top canciones de MTEPA

Comfort
Comfort MTEPA
My Girl
My Girl MTEPA
Jah Love
Jah Love MTEPA & Brown $huga
Champion
Champion MTEPA
Blessing
Blessing MTEPA & KATARRI

Consulta la discografía completa y el rendimiento en streaming en todas las plataformas.

Empieza gratis ahora

Sobre MTEPA

Naitwa Rashid Abedi Nyakyeri, nimezaliwa Songa Mbele,Arusha Tanzania, tarehe 19 mwezi wa tatu 1997. Nilitumia miaka yangu ya utotoni huko Musoma, ambapo nilimaliza masomo yangu ya msingi na sekondari. Baada ya kumaliza shule, nilihamia jijini Dar es Salaam, ambako nilianza safari yangu ya muziki mwaka 2021. Katika kipindi hiko,nilirekodi wimbo wangu wa kwanza ulioitwa "Greater Love," ambao uliotengenezwa na Cloud Beats na Lion Riddims mwaka 2022. Hivi karibuni, nikiachia nyimbo zingine nimeshirikiana na wakali wengine na kutoa nyimbo kama "Jah Love" na "Comfort." Mbali na muziki, mimi ni m...